Kinyesi ni nini?
Kinyesi ni ngumu na rahisi, yote kwa wakati mmoja. Huanza tunapokula. Miili yetu hubadilisha chakula kuwa kinyesi, kisha kinyesi hutolewa nje.
Chakula huingia mdomoni, kupitia matumbo, na kutoka nje ya tumbo.
Binadamu wanahitaji chakula kwa ajili ya nishati,
hivyo miili yetu hutoa virutubisho kutoka kwenye chakula, na kinachobaki ni kinyesi.




